WANANCHI WA MIRONGOINE NA MOSHONO WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA MKOA

 Wananchi wa Mirongoine  pamoja na wamoshono wakiwa na mabango yao mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa leo wakati walipoandamana
 Mmoja wa kiongozi wa wananchi hao walioandamana hadi kwa mkuu wamkoa wa Arusha aliyejulikana kwa jina la  Emanuel Masamaki akiwa anatoa malalamiko yao mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo pamoja na mkuu wa wilaya ya Arusha hivi leo.
waandishi wa habari waliouthuria maandamano hayo wakiwa wameketi chini wakiwa wako makini kuandika habari kuhusiana na maandamano hayo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia