WAZIRI AZINDUA BARAZA LA TMAA

 Waziri wa nishati na madini William Ngeleja,Katikati akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa baraza la wafanyakazi  sekta ya madini (TMAA) ,kulia ni mtendaji mkuu wa TMAA,Mhandisi Paulo Masanja,kushoto ni mwenyekiti wa bodi wa TMAA,Dkt. Lyamungu Kayandabila
Waziri wa Nishati na madini,William Ngeleja akimkabidhi mtendaji mkuu wa TMAA ,mhandisi Paulo Masanja ,mkataba wa kuanzisha baraza la wafanyakazi la TMAA kama ishara ya kuzinduliwa kwa baraza hilo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia