HUZUNI YATANDA MIILI YA MASHUJAA 7 WA JWTZ WALIUAWA SUDAN YAWASILI DAR
Moja ya majeneza yenye miili ya Askari 7 waliuawa na waasi wakilinda
amani Darfur, Sudan, likishushwa kutoka kwenye ndege ya Umoja wa Mataifa
(UN), baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafamilia wakiwa na huzuni wakati wa mapokezi hayo
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akiwa na baadhi ya viongozi waliofika kupokea miili hiyo.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia