Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenyekijiji cha Mawengi wilayani Ludewawakati alipoziandua kinu chao chakukoboakahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa NjombeJulai 11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengewilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha
kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakiwa katika
ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia kwake ni Mbunge wa ludewa
Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pindana mkewe Tunu(kulia) wakitazama kahawa inayokaushwabaadaya kukobolewawakati
Waziri Mkuu alipozindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha
Mawengi wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11,
213. Kushoto ni Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pindaakisalimiana nawalimu wa shule ya sekondari ya Chief Kidulilewilayani Ludewa kabla ya kuweka jiwe la msingi la Jengo la maabaraakiwa katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 11, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pindaakizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya ChefKidulile
wialyani Ludewa baada ya kuweka jiwe la msingi la maabara akiwa katika
ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia ni Mbunge wa Ludewa Deo
Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wakwekezaji kutoka china na washirika waowa
hapa nchini ambao wamewekeza katika mradi wa chuma wa Liganga, baada ya
kuwasili mjini Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11,
2013.
Mke
wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda (watatu kushoto) akislebuka pamoja na
wanwake wa Ludewa katika mkutano wa hadahara uliohutubiwa na Wairi Mkuu,
MizengoPinda akiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Wasnii
ya Ludewa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Wakati Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Ludewa
Julai 11,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
RELATED POSTS
0
Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia