RAIS AWAFUTURISHA WATOTO YATIMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi
baadhi ya watoto yatima walioshiriki
katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam .Watot yatima
wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari
hiyo
.
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia