HAYA NDO MAZISHI YA MFANYABIASHARA ERASTO MSUYA YALIYOFANYIKA MERERANI MKOANI ARUSHA
Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.
Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa.
Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokua limewekwa

0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia