NDEGE YAANGUKA ZIWA MANYARA AKIWEMO WAKILI MAARUFU


DJ SEK BLOG
Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani. Ndege hiyo ilikuwa na abiria sita na rubani mmoja ambapo wote walijeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu jana.
PIa katika ndege hiyo inadaiwa alikuwepo wakili maarufu ambaye jina lake halijafamika
 PICHA NA MITANDAO

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia