MLIBWENDE WA KITONGOJI CHA ILALA ATOA MSAADA WA VITABU KATIKA SHULE YA MISNGI TABATA JIKA

1
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akitia saini kitabu cha wageni katika shule ya msingi Tabata Jika wakati alipotembelea shuleni hapo na kukabidhi vitabu vya maandalizi ya mtihani wa Darasa la 7.
2 Doris Mollel, Miss Ilala 2013 akimkabidhi baadhi ya Vitabu mkuu wa shule ya msingi Tabata Jika Bwana Kiwia. Kushoto ni katibu wa kamati ya Miss Tabata 2013 Bw. Adili.
3
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na walimu wa shule ya msingi Tabata Jika baada ya kukabidhi Vitabu shule hapo.
4
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Tabata Jika wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Ilala 2013 Doris Mollel, huku wakiwa na baadhi ya vitabu vilivyokabidhiwa shuleni hapo na mrembo huyo.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia