SIKU YA UHIFADHI DUNIANI HIFADHI ZIWA MANYARA WAFANYA USAFI MTO WA MBU
Picha
mbalimbali zikiwaonyesha wafanyakazi wa hifadhi ya Ziwa Manyara
wakishiriki shughuli za kijamii kwa kufanya usafi kwenye mji wa mto wa
mbu kama wanaovyoonekana katika picha mbalimbali ikiwa ni katika
maadhimisho ya siku ya uhifadhi duniani hapa wakionekana na mabago
kamawalivyokutwa na kamera yetU
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia