HII NDIO TASWIRA HALISI YA JINSI MGOMBEA URAIS WA TIKETI YA CCM DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIWA NA MGOMBEA MWENZA WALIVYOPOKELEWA MARA BAADA YA KUTOKA KUCHUKUA FOMU
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea
Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi ndogo
ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya
Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.









0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia