MGOMBEA URAIS MWENZA WA CCM BI,SAMIA SULUHU ALITIKISA ARUSHA HII LEO

mgombea mwenza wa nafasi ya urais  Bi. Samia Suluhu akiwa anawahutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge vilivyopo jijini hapa
 wananchi waliouthuria katika mkutano huo hii leo
 mgombea mwenza wa nafasi ya urais akiwa anacheza ngoma  iliyokuwa inapigwa na wamama wa chama cha mapinduzi waliouthuria mkutano huo





 baadhi ya  makada wa chama cha mapinduzi ambao wamewai kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Arusha mjini wakashidwa kutokana na kura wakiwa ndani ya mkutano







mgombea mwenza wa nafasi ya urais  Bi. Samia Suluhu akiwa ana mnadi mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini  Philemon Mollel hii leo



 picha zote  na woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog


About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia