KONGAMANO LA KWANZA LA SERIKALI MTANDAO LAFANYIKA JIJINI ARUSHA


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Bw.Hab Mkwizu akifungua Kongamano la kwanza la Serikali Mtandao jijini Arusha leo.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha(RAS)Addoh Mapunda akizungumza kwenye ufunguzi mapema leo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao,Dk Jabiri Bakari akizungumza kwenye kongamano la siku tatu jijini Arusha ambalo limewakusanya maafisa zaidi ya 600 kujadili mikakati ya kuongeza matumizi ya mtandao katika shughuli za kila siku.



Wajumbe wakifatilia mada kwa makini



Wajumbe kutoka taasisi mbalimbali za serikali wakiwa kwenye kongamano hilo.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia