TIGO FIESTA YALISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard Paul ‘Ben
Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha hilo.
|
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto)
akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.
|
![]() | |
|
| NYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba akilishambulia jukwaa katika tamasha la Tigo Fiesta |
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno,
akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika
juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
|
UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha
hilo.
|

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia