Ticker

6/recent/ticker-posts

AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA USIKU WA KUAMKIA LEO

gari hiyo ikionekana ikiwa ndani ya mto
 Gari aina ya Altezza usiku wa kuamkia leo imedumbukia katika mto unaojulikana kwa jina la Naura ulipo jijini hapa  ,taarifa za awali ambazo libeneke limezipata ni kuwa gari hilo lilikuwa linaendeshwa na kijana ambaye jina lake alijaweza patikana mara moja   ambapo alidaiwa alikuwa amelewa usiku huo wa saa nane 
ndipo gari lilimshinda nakudumbukia mtoni huku dereva uyo akiwa ndani na alibahatika kuokolewa na kukimbizwa katika hospitali ya seliani na amelazwa katika chumba cha mahututi  hadi sasa libeneke linaendelea kufuatalia habari hii kwa undani zaidi endelea kufuatilia

Post a Comment

0 Comments