VIONGOZI WA AFC WAJIUZULU AKIWEMO KOCHA MKUUU Woinde Shizza Thursday, September 30, 2010 Add Comment Viongozi kadhaa wa timu ya soka ya AFC ya mjini Arusha wameamua kujiuzulu kufuatia matokeo mabaya ya timu hiyo . Mbali ya viongozi ha... Read More
SWAUMU FASHION DUKA LA NGUO LENYE NGUO ZA KIJANJA BALAAAA Woinde Shizza Thursday, September 30, 2010 Add Comment Swaumu fashion ni duka la nguo za kike na kiume lililopo barabara ya kwenda Nairobi mkoani Arusha linautha bidhaa nyingi za urembo ikiwem... Read More
Woinde Shizza Tuesday, September 28, 2010 Add Comment > Refarii wa mchezo wa pool Mohamed Bitegeko kutoka Mwanza> (kulia)akiwaesabia wachezaji Harubu Sudy wa Shinyanga na> Ramadhani All... Read More
FAINALI POOL ZILIZOFANYIKIA MATONGEE Woinde Shizza Tuesday, September 28, 2010 Add Comment Mchezaji wa timu ya pool Mkoa Dodoma, Happy Ngumbo> akijiandaa kupiga mpira jana wakati wa mashindano ya taifa> ya mchezo huo yanayod... Read More
Woinde Shizza Tuesday, September 28, 2010 Add Comment Jakaya mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Shinyanga mjini Read More
Woinde Shizza Tuesday, September 28, 2010 Add Comment Wananchi wakimkaribisha Jk katika uwanja wa Kambarage jijini Shinyanga Read More
MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI AKISAKA KURA SHINYANGA Woinde Shizza Tuesday, September 28, 2010 Add Comment Jk Akimnadi mgombea wa ubunge wa Shinyanga mjini Jana Bw.S Masele katika uwanja wa kambarage mjini ambao ni moja ya ziara zake za kusaka kur... Read More
Woinde Shizza Sunday, September 26, 2010 Add Comment VIJANA wanaosadikiwa kuwa ni wa chama cha Tanzania Labour(TLP) wanadaiwa kufanya vurugu na kumjeruhi mfuasi wa chama cha mapinduzi aliyef... Read More
BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mjini Kati, Simba Seif (Chadema), amelazwa Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru akiwa mahututi baada ya kunyongwa na m... Read More
Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mjini Kati, Simba Seif (Chadema), amelazwa Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru akiwa mahututi baada ya kunyongwa na m... Read More
MGOMBWA UDIWANI WA CHADEMA ANYOGWA NA MAHABUSU Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment picha mgombea wa udiwani wa kata ya kati Simba Seif akiwa hanaojiwa na mkuu wa upelelezi wa wilaya ya Arumeru OCD Zuber juu ya tukio lake l... Read More
Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment Picha wa kwanza kushoto ni Chales masanyika wa kwanza kulia ni Wiliam Mngasija wote wafanyakazi wa ITV wakiwa na Anti katika semina wakipikw... Read More
TIMU YA TAIFA YA RIADHA YAJIFUA Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Riadha Endro Boro akiwapa maelekezo wachezaji wake wakati wakifanya mazoezi ya kujiandaa kwenda nchi India k... Read More
YATIMA WACHANGIWA Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment Waimbaji wanaojulikana kwa jina la (samsoni )wakiwa wanatumbuiza na nyimbo zao za injili wakati wa harambee za kuchangia watoto yatima na wa... Read More
MICHEZO JUU Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment Hata wanawake pia wanapenda michezo wa katikati ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Arusha mjini Dr.Batilda Burian akiafuatiwa na wakwanza kush... Read More
Woinde Shizza Wednesday, September 22, 2010 Add Comment Picha ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi Moses Mashalla akiwa na anti wo wakibadilishana ujuzi kidogo katika hoteli ya nazz Read More
Woinde Shizza Tuesday, September 21, 2010 Add Comment Hii yote ni katika harakati za kutafuta habari huyu ni anti akichacharika katika jimbo la Monduli Read More
CHADEMA WACHACHAMAA WAKISEMA MPAKA KIELEWEKE Woinde Shizza Tuesday, September 21, 2010 Add Comment Muhasisi wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Edwin Mtei akiwasalimia wananchi waliouthuria katika mkutano wao wa Athara uliofanyiki... Read More
DR.SLAA NDANI YA KAMPENI ZAKE Woinde Shizza Tuesday, September 21, 2010 Add Comment Mgombe wa Urais kuitia CHADEMA Dr.Wilbord Slaa akihutubia wananchi katika mkutano wake alioufanya mkoani Arusha wa kuomba kura ili achagul... Read More
MGOMBEA URAISI WA CCM AKIWA MONDULI Woinde Shizza Monday, September 20, 2010 Add Comment Mgombea urais wa chama cha mapinduzi akiwahutubia wananchi wa Monduli mara baada ya kuwasili katika mkutano wake wa hazara ambao aliufanyia... Read More
MGOMBEA URAISI WA CCM AKIWA MONDULI Woinde Shizza Monday, September 20, 2010 Add Comment Mgombea urais wa chama cha mapinduzi akiwahutubia wananchi wa Monduli mara baada ya kuwasili katika mkutano wake wa hazara ambao aliufanyia... Read More
ZIARA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Woinde Shizza Monday, September 20, 2010 Add Comment Mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Godluck Ole Medeye akiwaomba wananchi wa jimbo hilo kura zao zote za urais wampe Jakaya kikw... Read More
YANGA WAWAMALIZA AFC NYUMBANI Woinde Shizza Monday, September 20, 2010 Add Comment Washabiki wa timu ya Yanga wakiwa wanasherekea mara baada ya kuwafunga wenyeji wao AFC bao mbili bila katika uwanja wao wa nyumbani wa Sherk... Read More
MGOMBEA UDIWANI Woinde Shizza Thursday, September 16, 2010 Add Comment Mgombea udiwani wa Sombetini Alfonsi Mawazo akihutubia wananchi katika moja ya kampeni zake alizozifanya huko sombetini Read More
WANANCHI WALIOJITOKEZA KUMUONA MGOMBEA URAIS Woinde Shizza Thursday, September 16, 2010 Add Comment MAMIA YA WANACHI WA MJI MDOGO WA USA-RIVER WILAYANI ARUMERU WAKIMSIKILIZA MGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE WA... Read More
MJUE MSANII MDOGO ANAETAMBA ARUSHA R- CHUGA Woinde Shizza Monday, September 06, 2010 Add Comment Dogo Anakwenda Kwa Jina La Abdul Kachaaa Maskani Ni Atown - Ngarenaro Dogo ana Umri wa miaka 14 kwa sa... Read More
YANGA KUIKARIBISHA AFC LEOPARD YA KENYA SEPTEMBER NANE ARUSHA Woinde Shizza Monday, September 06, 2010 Add Comment Picha mratibu wa mechi ya kirafiki baina ya timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam na timu kutoka nchini Kenya AFC leopard George Wakuganda ... Read More
Woinde Shizza Sunday, September 05, 2010 Add Comment Picha wa kwanza alivaa tisheti ya familia kondom ni meneja wa kanda ya kaskazini wa kampuni ya PSI Robison Kature akifuatiwa mganga mkuu ... Read More
CHADEMA WACHARUKA JIMBO LA ARUSHA MJINI Woinde Shizza Sunday, September 05, 2010 Add Comment Picha mgombea udiwani wa kata ya lemara kupitia tiketi ya chama cha chadema Viola Laizer akitambulishwa na mgombea ubunge wa jimbo la arus... Read More
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAANDAA MKAKATI KUWEKEZA ZIWA VICTORIA Woinde Shizza Sunday, September 05, 2010 Add Comment KATIBU MKUU WA AFRICA MASHARIKI BALOZI JUMA MWAPACHU AKIZINDUA TOVUTI YA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATAKA ZIWA VICTORIA LINALOTARAJIWA KUFANYI... Read More