TUKUMBUSHANE MATUKIO YA HARUSI YA AUNT EZEKIEL HUKO DUBAI
bywoinde-
0
Picha hizi ni Baada ya harusi yao hapa walikuwa na Wageni waalikwa
Kutoka Tanzania Hasa wasaniii wa Filamu Maarufu Wakipata Chakula cha
Jioni Huku Dubai....Haya sasa Natumaini Mmemuona Vizuri Shemeji Yetu
Ambae Alifichwa sana Mpaka Siku ya Harusi