Lady Jay Dee na Lulu wakiwa pamoja kwenye steji wakiimba.
Fetty
Akiwa katika Mapozi tofauti tofauti wakati wa Uzinduzi wa Filamu ya
Lulu iitwayo Foolish Age uzinduzi uliofunika na kufana sana hadi kuacha
Gumzo Jijini Dar, uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa iliyopita Chini ya
Kampuni Mpya Kabisa ya Proin Promotions Limited.
Tino akiwafanyiwa mahojiano na Ceaser Daniel wakati wa Uzinduzi wa Filamu Mpya ya Elizabeth Michael aka Lulu iitwayo Foolish Age
Wadau wakijiachia
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakifuatilia Uzinduzi huo Kwa Makini
JB akito tabasamu zito wakati
akiwasili kwenye uzinduzi wa Filamu mpya ya Lulu iitwayo Foolish Age
uliofanywa na Kampuni ya Proin Promotions limited ndani ya Ukumbi wa
Mlimani City siku ya Ijumaa
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar waliowahi kuingia Kwenye Ukumbi kabla ya Uzinduzi kuanza
Wadau wakiserebuka wakati Lady Jay Dee aka Anaconda, Aka Komandoo akitoa burudani ya kibao chake kipya Cha Yahaya..