Mary Lucos akifanya yake huku akipata Sapoti ya Digna wakitoa burudani kwa mashabiki wao wa Skylight Band.
Sam Mapenzi akitoa burudani kwa
mashabiki wa Skylight Band kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village
Masaki jijini Dar Juma lililopita.
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza kikosi
kazi cha Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita
kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Sony Masamba na Joniko Flower wa Skylight Band wakisakata sebene huku Daudi Mzee wa Tumba akifanya yake jukwaani.
Mashabiki wa Skylight Band wakichizika na burudani Jumaa lililopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Vijana hawajitambui kabisa kwa utamu
wa nyimbo za Skylight Band utawaambia nini
wakuelewe....Mirror...Carolina.....Azonto....Antena....Kariakoo.....Khona
na nyingine kibao utazipata hapo...
Kwaito ilichezeka pia kwa wale wanaojua zile step zetu zile....
Lubeya wa Skylight Band akiuza nyago na Superstar wa Bongo Movie Esha Buhet ndani ya Thai Village.
Eshe Buhet na Bishosti wake wakipata Ukodak.
Shabiki namba moja wa Skylight Band..mahuhdhurio yake mazuri kijana.
Watoto wa ukweli kwa pande zile...hapana chezea Skylight Band weweeee.! Wengine wanasubiri.
Wadau wakipozi kupata Ukodak.
Auncle Danga na swahiba wake Nicco Kaombwe.
Mdau akipata Ukodak kuonyesha style yake ya mavazi aliyojipigilia...
Mdau Dagma askihow love na washikaji zake.
Skylight Band for Life....Peace and Love....!
Sam Mapozi asali ya Warembo akishow love na Superstar wa Bongo Movie Eshe Buhet na marafiki zake.
Aneth Kushaba AK47 na marafiki wakishow love.
William Malecela a.k.a LEMUTUZ na Mbabes Mkareeeee wa Bongo Movie Esha Buhet.
Warembo na LEMUTUZ wakipata Ukodak.
Sam Mapenzi wakiuza nyago na Abubakar Abdul a.k.a Bonge la Bwana.
Visura wa Skylight Band wakipata Ukodak Backstage.
Kutoka kushoto ni mrembo Ipty,
Superstar wa Bongo Movie Esha Buhet, Shekha Fadhil na Nicco Kaombwe
wakishow love na mabusu shamsham ndani ya kiota cha Thai Village juma
lililopita.