Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul
‘Diamond’ akifanya yake katika tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Kigoma.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Izzo Bizness
akiwapagawisha washabiki katika tamasha la Kili Music Tour lililofanyika juzi
kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Msanii
wa muziki wa Hip Hop nchini Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akitumbuiza katika
tamasha la Kili Music Tour Kigoma.
Baadhi ya wasanii wa muziki nchini wakiwa pamoja na
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe katika tamasha la Kili Music Tour
lililofanyika kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika.
Msanii
wa muziki nchini Lady Jaydee ‘Jide’ akitumbuiza kwenye tamasha la Kili Music
Tour lililofanyika kwenye Uwanja wLake Tanganyika mjini Kigoma.