Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilboru wilaya ya
Arumeru mkoani Arusha wakiwa wamebeba mizigo yao wakielekea majumbani
kwao baada ya kuamriwa kuondoka mara moja chini ya usimamizi wa jeshi la
Polisi baada ya shule kufungwa kwa muda usiojulikana kwa kile
kinachodaiwa tishio la kuchomwa moto shule hiyo.anatokea maeneo ya
mbali katika mikoa ya Kagera,Kigoma,Shule inayopokea wanafunzi wa kiume wenye vipaji maalumu ,baadhi ya
wanafunzi wamedai kuwa baada ya kuonekana eneo mojawapo limemwaga
petroli hatua iliyozua hofu huku walimu wakiwashutumu wanafunzi kutaka
kufanya kitendo hicho na wanafunzi wakidai huenda ni walimu wao. Hali hiyo iliwanya wanafunzi kuonekana kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha wakifanya mawasiliano ya namna ya kuondoka huku wanafunzi wengine wakiwa hawajui la kufanya kutokana na kuwa w Mtwara na Ruvuma. Baadhi ya wanafunzi wenye ulemavu hawakuweza kuondoka mara moja kutokana na hali yao kuhitaji msaada wa wazazi na walezi |