Meneja
Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Innocent
MungI akitoa mada katika Semina ya siku moja, iliyodhaminiwa na Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC)
leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Kutoka
Kushoto ni Mkurugenzi wa ASILI YETU TANZANIA BLOG Bw. Victor Machota
akiwa na Gadiola Emanuel mwenyekiti wa Arusha Bloggers Associations na
Mkurugenzi wa WAZALENDO 25 BLOG katika Semina ya siku moja iliyotolewa
na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press
Club leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Mwanahabari
toka Radio 5 Fm Bw. David Rwenyagira akisikiliza kwa makini katika
Semina ya siku moja, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti
Garden Jijini Arusha.
Kushoto ni Woinde Shizza
,Kiko ,Jane Edward na anaecheka kwa furaha ni Philbert Rweyemamu katika
Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5
Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Innocent Mungi kutoka TCRA akitoa semina katika maswala mbalimbali yahusuyo mawasilioano nchini.
Wanahabari
mbali mbali wakisikiliza kwa umakini Semina ya siku moja ya wanahabari,
iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana
na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Meneja
wa Mawasiliano wa TCRA akipata Zawadi ya Shuka la Kimaasai na Mkanda
kutoka kwa Arusha Press Club mara baada ya kutoa mada katika Semina ya
siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013
Olasiti Garden Jijini Arusha.
TRCA kupitia Bw Mungi waliwaomba
sana wanahabari na bloga wa Arusha kutumia taaluma yao kusaidia
kuielimisha jamii ya kitanzania kuhusianna na matumizi sahihi na bora ya
mawasiliano ili yawe na tija zaidi. Kwamba si nia ya TCRA kuingilia
uhuru wa wananchi katika kuwasiliani lakini ni vyema kuelimishana ili
matatizo mengine yanaweza kuondoka kwa elimu kuongezeka.
Mweka
hazina wa Arusha Press Club na Mkurugenzi wa Jamii Blog Bi. Pamela
Mollel akitoa zawadi kwa Meneja wa Kanda ya kaskazini Bi. Eng. Annette
E. M. Matindi (hayupo pichani) akipokelewa na mwakilishi toka TCRA Bw.
Julius Felix katika Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press
Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Arusha Press Club Bw. Cloud Gwandu akitoa shukrani kwa niaba ya
wanahabari waliohudhuria katika Semina ya siku moja ya wanahabari,
iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana
na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Bw
Innocent Mungi akivalishwa mkanda wa kiasili kukazia rubega na Mweka
Hazina wa klabu ya waandishi wa habari Arusha, Bi Pamella Mollel.
Ramani ya mkongo wa mawasiliano
Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza Semina, kutoka kushoto ni Julius Felix (TCRA) , Seria Tumainiel ( Arusha 255 Blog ), Bw. Innocent Mungy (TCRA) ,Victor Machota (ASILI YETU TANZANIA Blog) ,Gadiola Emanuel (WAZALENDO 25 BLOG) na Woinde Shizza (LIBENEKE LA KASKAZINI). Baadhi ya picha; na Gadiola Emanuel.