WAANDISHI WA HABARI WALIOKUWA KATIKA ZIARA YA WASHIRIKI WA MKUTANO WA SADIC ULIOKUWA UNAENDELEA MKOANI ARUSHA WAPATA AJALI
KWA MUJIBU WA CHANZO CHA HABARI ALIYEKUWEPO ENEO LA TUKIO AMESEMA KUWA HAKUNA MUANDISHI HATA MMOJA ALIYEPOTEZA MAISHA BALI NI MAJERUHI TU
BLOG YAKO YA LIBENEKE INAENDELEA KUFATILIA NA ITAENDELEA KUKUPA TAARIFA ZAIDI ZINAZOENDELEA