Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akisaliiana na Ambilikile Mwasapila maarufu kwa jina la
Babu wakati alipopita katika kijiji cha Samunge akilelekea Digodigo
kuhutubia mkutano wa hadhara Septemba 24, 2013. Alikuwa katika ziara ya
wilaya ya Ngorongoro .
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akiwa na wacheza ngoma wa kabila la Wasonjo kabla ya
kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Digodigo wilayani
Ngorongoro
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akikagua magadi kwenye ziwa Natron akiwa katika ziara
ya Wilaya ya Ngorngoro akiwa njiani kuelekea Mtowa Mbu akitoka
Loliondo Septemba 24, 2013. Wapili kulia ni Mbunge wa Simanjiro,
Christopher Ole Sendeka.
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akihutubia Mkutano wa hadhara katika kijijicha Digodigo
wilayani Ngorongoro Septemba 24, 2013. Kulia ni Mkewe Tunu na
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mulugo.