RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI ARUSHA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Machi Mosi, 2026, akitarajiwa kukutana na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. John Dramani Mahama kwenye Ikulu ndogo Mkoani Arusha.


Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Februari 28, 2026 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, Mhe. Mahama anakuja Mkoani Arusha kuhudhuria pia Mkutano wa Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu utakaofanyika tarehe 2 Machi,  2026 Jijini Arusha.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia