Picha mwanamke akiwa amebeba beseni kichwani huku ndani yake akiwa ameweka kuku wa kienyeji akichacharika kuwauza katika soko la Mkuu Rombo
Read More
Home
Archive for
November 2010
WAKINA MAMA WA KIWA SOKONI WAKIUZA NDIZI ZILIZO IVA KATIKA SOKO LA MKUU ROMBO
Picha ni wakina mama wakiwa wanawasubiri wachukuzi waje wanunue ndizi zilizoiva katika soko la Mkuu lililopo mkoani Kilimanjaro wilayani Rom...
Read More
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASEMA SEREKALI IMEANDAA MIPANGO KABAMBE YA KUWAWEZESHA WAKULIMA
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema serikali imeandaa mipango ya kuwa na utaratibu mzuri wa kuwawezesha wakulima kupata mikopo kutokwa kwa ben...
Read More
KLABU YA WAZEE YAPATA VIONGOZI WAPYA
Mwenyekiti mpya wa klabu ya wazee ya jijini Arusha Darford Mpumilwa akisoma risala fupi baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo katika ucha...
Read More
WANACHAMA wa klabu ya wazee ya jijini Arusha wamefanya uchaguzi mkuu wa kuwachagua viongozi wa klabu hiyo huku wanachama hao wakimchagua ...
Read More
KCB BANK WAGAWA MSAADA WA MADAWATI 30 ARUSHA
Jumla ya madawati 30 yametolewa katika shule ya awali ya Tegemeo iliyopo katika mtaa wa Eng'avunet katika kata ya Terati mkoani Arusha. ...
Read More
PICHA NA MATUKIO YA WAFANYAKAZI WA KCB BANK WAKIWA WANAKABIDHI MISAADA YA MADAWATI 30 KATIKA SHULE YA AWALI YA TEGEMEO ILOPO JIJINI ARUSHA
wanawake wa kimasai wa kikundi cha Zinduka wakiimba na kufurahi mara tu baada ya mgeni rasmi kuingia katika kata yao wakati walipokuwa wakik...
Read More
TERRY SAVELLE FOY AKIKABIDHI MAHINDI NA MAHARAGE KISONGO
Zaidi ya magunia 100 ya mahindi yametolewa kwa wananchiwanaoishi katika mazingira magumu wa kijiji cha lopilukuny katika kata ya Kisongo ...
Read More
HUDUMA YA JERRY SAVELLE YAGAWA MISAADA
Picha makamu wa raisi wa hudumaya Jerry savvelle minidistry International wa marekani Mzungu mdada akimkabidhi bibi mjane masaada wa nguo n...
Read More
MCHUNGAJI GARY EBERTS AKIWAGAWIA WANANCHI MAFUTA YA KUPIKIA
Picha mkurugenzi wa JSMOT akitoa msaada wa mafuta kwa wananchi wa kijiji cha kisongo
Read More
RAHEL KHOHOYA AKIONGEA NA WANASEMINA
Picha mkurugenzi msaidizi Rahel Khohoya akiongea na wanasemina waliouthuria semina ya michezo mbele ya mgeni rasmi
Read More
RAIMONDI MUSHI MKUU WA WILAYA YA ARUSHA
Mkuu wa wilaya ya Arusha Raimondi Mushi akiongea na wakuu wa michezo mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania wakiwemo maafisa utamadu...
Read More
KOCHA JAN POULSEN NDANI YA ARUSHA
Kocha Jan Poulsen wa katika kati akiangalia mechi ya mwisho ya timu ya AFC na Kagera Sugar iliyochezwa katika uwanja wa sherk amri abeid wen...
Read More
SIJAONA VIWANGO
Kocha mkuu wa timu ya taifa Jan Poulsen amesema kuwa ajaona viwango katika timu ya AFC na Kagera sugar wakati alipokuwa akiangalia mechi ...
Read More
MSUMARI AFURAISHWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MICHEZO KUTWAA NAFASI ZA UBUNGE
MWENYEKITI wa matawi ya Klabu ya Simba mkoani Tanga,Mbwana Msuamari kufurahishwa na kitendo cha viongozi wa michezo kutwaa nafasi za Ubunge ...
Read More
PICHA WA CHEZAJI WA TIMU YA KIAGO WALIOVAA NYEKUNDU WAKICHEZA NA TIMU YA PAILOT KATIKA UWANJA WA GYMKANA MKOANI ARUSHA
MASHINDANO YA HERITAGE OF FAITH CHRISTIAN CENTRE YAANZA KUTIMUA VUMBI
Kanisa linalojulikana kwa jina la Heritage Of Faith Christian Centre (HFCC) limeandaa mashindano ya mpira wa miguu yanajulikana kwa jina la ...
Read More
BISHOP DURNING YAJIPANGA KUANZISHA CHUO KIKUU
Shule ya Sekondari na chuo cha ualimu ya Bishop Durning iliyopo eneo la Sanawari ya juu Mkoani Arusha inajipanga kuanzisha chuo kikuu ndani ...
Read More
MWANANDOA ADAIWA KUTISHIA MKEWE KWA KISU, ATEMBEZA MKONG’OTO KWA WATOTO WAKE
Mwanandoa aliyefahamika kwa jina la Kelvin Temu amedaiwa kumtishia mke wake kwa kisu Bi Daines Nkini kwa lengo la kutaka kuoa mwanamke mwing...
Read More
WAZIRI WA ULINZI WA KAGAME APINGANA NA USHAIDI WA KE MWENYEWE ICTR
Waziri wa zamani wa Ulinzi wa Rwanda, Jenerali Emmanuel Habyarimana ambaye mwaka 1999 alitoa ushahidi wa maandishi kwamba wanamgambo wa Inte...
Read More
ULOMI AHAIDI KUSAIDIA TAASISI
MKurugenzi wa kampuni ya Banana Investment Ltd inayotengeneza vinywaji mbalimbali mkoani Arusha Bw.Adolf Olomi ameahidi kusaidia taasisi p...
Read More
TIMU ya JKT Oljoro ya jijini Arusha leo imeweza kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Sherk Amri Abeid mara baada ya kuweza kuwanyuka mi...
Read More
LEMA AACHA HISTORI KATIKA JIMBO LA ARUSHA MJINI WATU WASHEREKEA WASEMA HAIJA WAHI KUTOKEA KAMA HIVI AFANANISHWA NA OBOMA
Matoke ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Arusha mjini yametangazwa leo rasmi ya mgombea wa ubunge wa jimbo kupitia chama cha demokrasia na Maen...
Read More
PICHA WANANCHI WAKIPIGA KELELE WAKIDAI KUTAKA KUPEWA MAJIBU YA KURA ZAO
Pilika pilika za kumpata kiongozi ambaye ataongoza jimbo la Arusha mjini zilianza jana na hadi kufikia leo asubuhi kulikuwa tayari wananchi ...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)