Matoke ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Arusha mjini yametangazwa leo rasmi ya mgombea wa ubunge wa jimbo kupitia chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema ameibuka kidea mara baada ya kuweza kupita kwa kasi kubwa kwa jumla ya kura 56,569 huku mgombea mwenza kupita tiketi cha chama cha Mapinduzi Dr.Batilda Burian kuambulia kura 37,460.