MKurugenzi wa kampuni ya Banana Investment Ltd inayotengeneza vinywaji mbalimbali mkoani Arusha Bw.Adolf Olomi ameahidi kusaidia taasisi pamoja na wadau mbalimbali kwa kuwezesha kutoa nakuboresha majarida ili kuboresha elimu kwa jamii.
Akizungumza wakati wa semina ya wafanyabiashara (TCCIA) mkoani hapa iliyohudhuriwa na wadau na taasisi mbalimbali zikiwemo maendeleo ya jamii manispaaya arusha,wakufunzi kutoka chuo cha waandishi wa habari(AJTC),mamlaka ya maji safi na taka mkoani hapa ambapo alisema kuwa nia jambo jema kutoa elimu hiyo.
''Nijambo jema kwa chuo cha uandishi wa habari kuendesha semina hii inayotoa elimu zaidi katika kuanzisha majarida ya magazeti kwa kila taasisi ili kutoa elimu ya kutosha kwa jamii na kuepusha vifo vya magazeti kutokana na ufinyu wa elimu katika kuyaendesha.''Alisema Bw.Olomi''
Aidha Bw.Olomi ambaye pia ni mwenyekiti wa TCCIA mkoani hapa alibainisha kuwa katika harakati za kuanzishwa na kuendeshwa kwa magazeti hayo atasaidia kuchangia katika matangazo na gharama ndogo ndogo.
Naye mkurugenzi wa chuo cha uandishi wa habari AJTC Bw.JOseph Mayagilla alisisitiza kuwa pamoja na kuendesha zoezi la kutoa elimu hiyo pia wanajipanga kwa kuhakikisha elimu hiyo inatolewa mara kwa mara kwa siku zijazo.
Kwa upande wao baadhi ya washiriki wa TCCIA Bw. Darema Zephania na mwakilishi wa taasisi ya maendeleo ya jamii manispaa ya Arusha Bi Anna Mushi wameeleza kufurahishwa na semina hiyo nakudai kuwa itakuwa mkombozi katika kuongeza kasi ya elimu ndani ya jamii.
Wakati huo huo mkurugenzi wa AJTC Bw.Joseph Mayagilla amewataka vijana yatima kujitokeza ili kuweza kupata elimu ya mafunzo mbalimbali wanayotoa katika taasisi ya Filim ya kilimanjaro Institute inayotoa kipindi cha tazama TBC ili kupata ujuzi utakao wawezesha kutengeneza filam n.kULOMTA