HUDUMA YA JERRY SAVELLE YAGAWA MISAADA
Monday, November 15, 2010
Makamu wa rais wa huduma ya JSMI Terry Savelle Foy akigawa msaada wa maindi kwa wanakijiji wanaoishi kwenye mazingira magumu ambao wamekubwa na njaa katika kijiji cha Lopilukuny katika kata ya Kisongo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia