WAKINA MAMA WA KIWA SOKONI WAKIUZA NDIZI ZILIZO IVA KATIKA SOKO LA MKUU ROMBO



Picha ni wakina mama wakiwa wanawasubiri wachukuzi waje wanunue ndizi zilizoiva katika soko la Mkuu lililopo mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo ndizi hizi hutumika kutengenezea kivyaji kinachopendwa na wachaga wengi kijulikanacho kama Mbege

1 Comments

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

  1. zamani ndizi tulikuwa tunanunua mashati na mwika sasa mpaka mkuu!

    ReplyDelete
Previous Post Next Post