WANANCHI WAKIWA WANAHAKIKI MAJINA YAO KAMA YAPO KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA
Monday, November 01, 2010
Picha wananchi wa kata ya Ngarenaro wakiwa katika kituo cha Shule ya msingi Sombetini wakiwa wanaangalia majina yao kama yapo katika orodha ya wapiga kura
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia