Meneja wa mfuko wa hifadhi ya jamii (PPF) Kanda ya kaskazini, Onesmo
Ruhasha akizungumza na wakazi wa Tarafa ya Haydom Wilayani Mbulu, Mkoani
Manyara, kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huo katika tamasha la
utamaduni lililoandaliwa na kituo cha pembe nne za utamaduni Haydom
(H4CCP).
WANANCHI WA HAYDOM WAELEZWA UMUIMU WA KUJIUNGA NA UFUKO WA HIFADHI YA JAMII PPF
bywoinde
-
0