Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
Mbunge
wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa
kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni
Mbunge
wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya
sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa
wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo
Mbunge
wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya
sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa
wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo
Kiongozi
wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka
Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa
Bunge, Job Ndugai
Mbunge wa Mbeya Mjini akizuiwa na wabunge wa CHADEMA ili asiambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma