HICHI NDICHO KIMEMUUWA TAJI WA NGOZI SALUM ALLY



aliyekua mfanya biashara wa ngozi mjini arusha maarufu kama mzee salim ally wa arusha amefariki yeye mke wake na mtoto wake kwa hajali ya gari yemeni alipokua amekwenda kwa mapumziko, nawapa pole familia ndugu jamaa na marafiki kwa msiba mzito mwenyezi mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu,

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post