Mashindano
ya riadha kwa hatua mbalimbali yaliyopewa jina la Safari Marathon
yamefanyika hii leo Jijini hapa kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa
mchezo huo kutoa ndani na nje ya nchi. Mbizo hizo zilizikuwa na vituo
tofauti kulingana na umbali husika katika mitaa tofauti ya Jiji la
Arusha mpa amaeneo ya Njiro/Themi relini kwa mbio ndefu.