Waziri wa elimu na
mafunzo ya ufundi Shukuru Kawambwa akisikiliza Hotuba iliyokuwa
inatolewa na mwenyekiti wa mkutano huo ambaye pia ni makamu wa mkuu wa
chuo cha Mzumbe prof.Josephat Itika wakati wa ufunguzi wa mkutano wa
siku mbili kujadili changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta ya elimu
ya juu kwa kushirikiana na waajiri hapa nchini kuitatua changamoto hizo
kongamano linalofanyika kwenye Hotel ya Naura springs jijini Arusha kwa
siku mbili.
Waziri wa elimu na mafunzo ua ufundi akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano linalowashirikisha waajiri na wadau wa elimu ya juu kujadili maboresho ya mitaala na mahitaji ya waajiri kwenye sekta ya ajira hapa nchini kwa vijana wanaomaliza elimu ya juu hapa nchini (picha zote na mahmoud ahmad wa libeneke la kaskazini , Arusha)