Baadhi ya
wakazi wa eneo la Kambarage kata ya Themi jijini Arusha wakichota maji kwenye
chanzo cha maji kilichopo eneo hilo juzi,wakazi hao wamelalamikia hatari ya
kupotea kwa chanzo hicho kutokana na ujenzi wa ukuta unaojengwa na kiwanda cha
Mt,Meru karibu na chanzo hicho
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia