hawa ndo baadhi ya wasanii wa Ar chuga wakiwa wamepozi ndani ya libeneke pub baada ya kutoka kufanya shoting ya freemason ambayo inatarajiwa kuachiwa hivi karibu usipimeeeeeeee kaa mkao wa kula
 |
| pia katika kikundi hichi kuna wadada wa ukweli ambao watakuwa wanapendezesha filamu hiyo usikose mara tu usikiapo filamu hiyo imetoka libeneke blog itaendelea kukuhabarisha kuhusiana na wasanii hawa wa jiji la Arusha ambao wanatisha na kwasasa kikundi hichi kinaendelea kutamba na filamu zao kama chalii ya Ar chuga na zingine kibao |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia