HII NDO SAFARI YA MWISHO YA NDUGU YETU MPENDWA R.I.P HERMAN MINJA ALIYEKUWA MPIGA PICHA MAARUFU HAPA NCHINI


Mimi CEO wa wazalendo25 blog nikiwa mmoja wa waliouaga mwiliwa  Herman Minja ,ambae alikuwa ni mpiga picha maarufu jijini Arusha,Alifariki ghafla kwa ugonjwa wa Sukari juzi,leo walimuaga nyumbani kwake tayari kuelekea Marangu Moshi.



Charity Githinji alikuwepo katika kuuwaga mwili wa marehemu ili ukazikwe Marangu Moshi

Mjane wa marehemu Herman Minja

Mwili ukiingizwa kwenye gari maalum, tayari kwa safari ya kuelekea Marangu Moshi.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia