WEEKEND NDO HIYO INAANZA KWA WATU WA ARUSHA USIJIULIZE PA KWENDA SEHEMU NDO IZI
wakazi wa mkoa wa aArusha na pembezoni wekendi ndo hiyo imeanza sasa ujiulize wapi pa kwenda bali sasa wakati ni wako aliyamisi ya leo
| unakaribishwa Libeneke Pub uanzie wekendi hapo na pia katika ukumbi wa triple A wazee wa gwasuma wanatumbuiza ikiwa ni pamoja na kuitambulisha bendi albamu yao mpya usikose | KWA UPANDE WA BENDI FESTI LEFTY KUNA BENDI ,SUNDOWN KUNABENDI YA NGUVU BILA KUSAHAU KATIKA UKUMBI WA NAROK | KWA WALE WA MADISCO KUNA KLABU AQ DISCO LA NGUVU | ,TRIPLE A KUNA DISCO ZURI NA MADJ WA UKWELI |
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia