OKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO DAMU

 Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC) Eliya Mbonea ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya New Habari (2006) wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba akichangia damu jijini Arusha jana ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kukusanya damu kwa ajili ya Benki ya Damu Kanda ya Kaskazini, shughuli hiyo ilifanyika katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha jijini Arusha kwa takribani siku 5.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia