TASWIRA YA Vurugu kubwa zatokea katika ugawaji wa vitalu vya biashara katika kituo kipya cha makumbusho
![]() |
| Misululu mikubwa wafanyabishara waliokuwa mwenge wakisubiri kupewa vitalu vya kufanyia biashara hapa kituo cha makumbusho muda huu |
![]() |
| Kila mtu anasubiri kwa hamu kupata nafasi ya biashara hapa kituo kipya cha mabasi makumbusho |
![]() |
| wengine wakiwa hawajui hatima yao katika uagwaji wa vitalu vya biashara hapa katika kituo cha daladala makumbusho |
![]() |
| misululu ni mirefu kwa wafanyabiashara hawa waliokuwa ktuo cha mwenge wakisubiri kupata nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha hapa makumbusho |




0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia