Baadhi ya watuhumiwa wakiingizwa mahakamani wiki chache zilizopita
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA
YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI
LA POLISI TANZANIA
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKIHUSISHWA NA MATUKIO YA
MILIPUKO YA MABOMU NA TINDIKALI MKOANI ARUSHA
NDUGU
WANAHABARI, MTAKUMBUKA KUWA WIKI MOJA ILIYOPITA JESHI LA
POLISI LILITOA TAARIFA KWA UMMA JUU YA WATUHUMIWA SITA WALIOKAMATWA NA
KUFIKISHWA MAHAKAMANI KUHUSIANA NA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA TAREHE
07/07/2014 KATIKA MGAHAWA WA VAMA ULIOPO MAENEO YA VIWANJA VYA GYMKANA JIJINI
ARUSHA.
TAARIFA HIYO ILIZUNGUMZIA
PIA TUKIO LA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA MMOJA AMBAYE BAADA YA KUPEKULIWA NYUMBANI
KWAKE ALIKUTWA NA MABOMU SABA YA KURUSHA KWA MKONO, RISASI SITA ZA BUNDUKI AINA
YA SHOT-GUN PAMOJA NA UNGA WA BARUTI. TULIELEZA PIA KUWA OPERESHENI YA KUKAMATA
WATUHUMIWA WENGINE KUHUSIANA NA MATUKIO YA MILIPUKO YA MABOMU NA TINDIKALI
ILIKUWA IKIENDELEA, NA KWAMBA WATUHUMIWA KADHAA WALIKUWA CHINI YA ULINZI WA
POLISI KUHUSIANA NA MATUKIO HAYO.
KUTOKANA NA
OPERESHENI HIYO ENDELEVU, WATUHUMIWA WENGINE KADHAA WAMEKWISHA KAMATWA NA KUHOJIWA,
AMBAPO USHAHIDI ULIOKUSANYWA UMEBAINI KUWA KATI YAO WATUHUMIWA ISHIRINI NA MOJA (21) WANAHUSIKA KATIKA MATUKIO
MBALIMBALI YA ULIPUAJI MABOMU NA KUMWAGIA WATU TINDIKALI HAPA JIJINI ARUSHA
KATIKA KIPINDI CHA KUANZIA MWAKA 2012 HADI YALE YALIYOTOKEA KATIKA KIPINDI CHA
HIVI KARIBUNI. WATUHUMIWA HAO WANATAZAMIWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI TAREHE 01/08/2014
KUUNGANA NA WENZAO WALIOKWISHA TANGULIA ILI KUJIBU MASHITAKA YANAYOWAKABILI. UFAFANUZI
WA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA NA MATUKIO WALIYOHUSIKA NAYO NI KAMA IFUATAVYO:
I.
TUKIO
LA MLIPUKO WA BOMU NYUMBANI KWA SHEKH ABDULKARIM JONJO TAREHE 25/10/2012
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YUSUPH
S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. KASSIM
S/O IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNERLL
3. MUSTAPHA
S/O MOHAMED KIAGO, MZIGUA, MIAKA 49, MKAZI WA KALOLENI, NI SHEKH MSIKITI MKUU
WA IJUMA
4. ABDUL-AZIZ
S/O MOHAMED, MCHAGA, MIAKA 49, MKAZI WA ENEO LA FAYA, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI
MKUU WA IJUMAA
II.
TUKIO
LA MLIPUKO WA BOMU KANISA LA ST. JOSEPH MFANYAKAZI OLASITI LA TAREHE 05/05/2013
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YUSUPH
S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO.
2. RAMADHAN
S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
3. ABDUL
S/O MOHAMED HUMUD @ WAGOBA, MMANYEMA, MIAKA 30, MKAZI WA MURIET, WAKALA WA
MABASI YA MOHAMED TRANS (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI
KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4. JAFAR
S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
5. SAID
S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42,
MKAZI WA SINONI- UNGA LTD, MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA
MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
6. KASSIM
S/O IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
7. ABASHAR
S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
8. ABDULRAHAMAN
S/O JUMANNE HASSAN, MBONDEI, MIAKA 41, MKAZI WA SINONI, MFANYAKAZI WA STANBIC
BANK ARUSHA
9. MORRIS
S/O JOHN MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
10. NIGANYA
S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
11. BARAKA
S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
12. HASSAN
S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA
III.
TUKIO
LA MLIPUKO WA BOMU VIWANJA VYA SOWETO KWENYE MKUTANO WA CHADEMA TAREHE
15/06/2013
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YUSUPH
S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. ABDUL
S/O MOHAMED HUMUD @ WAGOBA, MMANYEMA, MIAKA 30, MKAZI WA MURIET, WAKALA WA
MABASI YA MOHAMED TRANS (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI
KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
3. JAFAR
S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4. SAID
S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42,
MKAZI WA SINONI- UNGA LTD, MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA
MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
5. KASSIM
S/O IDRISSA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
6. RAMADHAN
S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO
7. ABASHAR
S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
8. ABDULRAHAMAN
S/O JUMANNE HASSAN, MBONDEI, MIAKA 41, MKAZI WA SINONI, MFANYAKAZI WA STANBIC
BANK ARUSHA
9. MORRIS
S/O JOHN MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
10. NIGANYA
S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
11. BARAKA
S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
12. HASSAN
S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA
IV.
TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI SHEKH SAID JUMA
MAKAMBA WA MSIKITI WA KWA MOROMBO TAREHE 11/07/2013
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YUSUPH
S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. RAMADHAN
S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
3. KASSIM
S/O IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
4. JAFAR
S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
V.
TUKIO
LA KUMWAGIWA TINDIKALI SHEKH MUSTAPHA KIAGO WA MSIKITI MKUU LA TAREHE
28/02/2014
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YUSUPH
S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. KASSIM
S/O IDRISSA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
3. JAFAR
S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4. HASSAN
S/O ALLY MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
VI.
TUKIO LA BOMU ARUSHA NIGHT PARK (MTK) LA TAREHE
13/04/2014
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. JAFAR
S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
2. IBRAHIM
S/O LENARD @ SHEKH ABUU ISMAIL, MSUKUMA, MIAKA 37, MKAZI WA MABATINI MKOANI
MWANZA.
VII. TUKIO LA BOMU NYUMBANI KWA SHEKH
SUDI ALLY SUDI LA TAREHE 03/07/2014
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YAHAYA
S/O TWALIB TWAHIR @ MPEMBA, MSAMBAA, MIAKA 37, MKAZI WA MTAA WA JALUO, MFANYABIASHARA
YA DUKA MTAA WA BONDENI
2. IDD
S/O RAMADHAN YUSUPH, MSAMBAA, MIAKA 23, MKAZI WA MTAA WA JALUO.
3. SAID
S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42,
MKAZI WA SINONI- UNGA LTD, MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA
MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWAWA VAMA)
4. ANWAR
S/O NASHER HAYEL, MNYAMWEZI, MIAKA 29, MKAZI WA
NGULELO, MFANYABIASHARA
5. JAFAR
S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
6. HASSAN
S/O ALLY MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
7. YUSUPH
S/O ALLY RAADHAN @ SEFU, MPARE, MIAKA 23, MKAZI WA NGUSERO
8. ABASHAR
S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
VIII. TUKIO LA KUPATIKANA NA MABOMU LA
TAREHE 21/07/2014
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. YUSUPH
S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. SUMAIYA
W/O YUSUPH HUSEIN ALLY, MWASI, MIAKA 19, MKAZI WA NGUSERO.
3. RAMADHAN
S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
4. HASSAN
S/O ALLY MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
5. ABASHAR
S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
6. KIMORO
S/O ISSA MCHANA @ OMAR @ ABUU TWALIB,
MRANGI, 25YRS, MKAZI WA ITOLWA KONDOA
7. HASSAN
S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA.
8. MORRIS
S/O JOHN MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
9. NIGANYA
S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
10. BARAKA
S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
IX.
KOSA LA KUHAMASISHA VITENDO VYA KIGAIDI
KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII
WATAKAOFIKISHWA
MAHAKAMANI:
1. IBRAHIM
S/O LENARD @ SHEKH ABUU ISMAIL, MSUKUMA, MIAKA 37, MKAZI WA MABATINI MKOANI
MWANZA.
2. ANWAR
S/O NASHER HAYEL, MNYAMWEZI, MIAKA 29, MKAZI WA
NGULELO, MFANYABIASHARA
3. YASINI
S/O MOHAMED SHABAN @ YAKI, MCHAGA, MIAKA 20, MKAZI WA KALOLENI MITA 200
OPERESHENI YA KUWATAFUTA WATUHUMIWA WENGINE WA MATUKIO HAYA
INAENDELEA NCHI NZIMA, NA TAYARI TUNAYO MAJINA YA WATUHUMIWA KADHAA AMBAO
WAMETOWEKA ARUSHA NA KUELEKEA MAENEO MBALIMBALI YA NDANI NA NJE YA NCHI.
MTUHUMIWA MMOJAWAPO ANAYETAFUTWA SANA NA POLISI KUHUSIANA NA MATUKIO HAYA NI YAHAYA HASSAN HELLA @ SENSEI, KABILA NI
MRANGI, MZALIWA WA KIJIJI CHA CHEMCHEM WILAYA YA KONDOA.
IMEBAINIKA KUWA
MTUHUMIWA HUYO NDIYE KINARA WA MATUKIO YA MILIPUKO YA MABOMU NA TINDIKALI HAPA
JIJINI ARUSHA KWA KUSHIRIKIANA NA WENZAKE WALIOKAMATWA, NA AMBAO BADO WANAENDELEA
KUTAFUTWA. JESHI LA POLISI LINAFANYA
KILA JITIHADA KUWEZA KUWAKAMATA WATUHUMIWA WOTE WALIOTOROKA NA KUHAKIKISHA KUWA
SHERIA INACHUKUA MKONDO WAKE.
ASANTENI
KWA KUNISIKILIZA.
IMETOLEWA
NA:-
LIBERATUS M. SABAS
- SACP
KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
31/07/2014
|