Ticker

6/recent/ticker-posts

TWASIRA YA AJALI MBAYA ILIOUWA WATU WAWILI MKOANI ARUSHA

AJALI MBAYA ARUSHA : WATU 2 WAMEFARIKI BAADA YA BASI LA HOOD KUGONGANA NA TOYOTA HIACE , USA-RIVER ARUSHA

Posted by Gadiola Saturday, August 02, 2014  |  in  MATUKIO
Watu wawili wamefariki papo hapo na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa baaada ya Basi la Hood lilikuwa linakwenda Mbeya Kugongana uso kwa uso na Basi dogo aina ya Toyota Hiace , Maeneo ya Kilala, Usa-river Arusha.

Basi dogo lilikuwa linatoka Usa- river kwenda Mjini Arusha na Basi la Hood lilikuwa linakwenda Mbeya.

Kamanda wa Polisi wa Arusha. Bw. Liberatus Sabas amewataja waliopoteza maisha ni Dereva wa Hiace aliyefahamika kwa jina la Jumanne Mohamed na Abiria Mmoja (anaret), majeruhi wamepelekwa hospitali za Tengeru na Mt. Meru Arusha.

Post a Comment

0 Comments