Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chadema, John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habari
Baadhi
ya viongozi wa Chadema kutoka kushoto ni Ofisa Habari, Tumaini Makene,
Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika, Ofisa Mwandamizi Mafunzo na
Uendeshaji, Mohamed Mtoi, na mwenye gwanda ni Katibu Mtendaji, Ofisi ya
Katibu Mkuu, Victor Kimesera.