Magari
yakipita katika barabara ya Moshi Bar -Mazizini ambayo mkandarasi wake
Controlled Blusting inayojenga barabara hiyo kwa kiwango cha changarawe
urefu wa Kilometa 3 imerundika vifusi kwa muda mrefu sasa bila
kuvisambaza jambo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Inadaiwa
kuwa inapaswa tangu kumwaga kwa vifusi hivyo hadi kusambazwa isisdi
siku 28 lakini vifusi hivi vimesha pita muda huo na dalili ya
kusambwazwa hivi karibuni haipo kwani mkandarasi huyo hata vifaa vyake
vya kazi havipo katika eneo la kazi jambo ambalo linazidishisha hofu kwa
watumiaji wa barabara hiyo ambayo baada ya kungwanguliwa hivi sasa
imesheheni vumbi na mchanga kusumbua baadhi ya maeneo.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia