Wafanyakazi wa Benki mbalimbali mkoani Kilimanjaro wakitoana jasho katika mashindano ya mbio za mita 400. |
Wafanyakazi wa Benki mbalimbali wakioneshana uwezo wa kusukuma Gogo katika Bonanza la Bankers Day lililofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika na Baiashara mjni Moshi. |
Mm.oja wa wafanyakazi wa Benki akionesha kuku baada ya kufanikiwa kumshika katika mashindano ya kukimbiza kuku |
Wengine walioneshana uwezo katika kukimbia huku wakiwa wamevaa gunia. |
Kwa upande wa kamba mshindi hakuweza kupatikana kwa mara ya kwanza mchezo huo ulitoa Droo. |
Wengine walikuwa katika mashndano ya kupuliza Puto . |