SIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI, HALMASHAURI KONDOA DODOMA

Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria, Mjumbe wa Bodi ya Sikika pamoja na Dokta Eli Nangawe (wa Kwanza Kuli).
Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria na Mjumbe wa Bodi ya Sikika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria akitolea ufafanuzi tamko lililosomwa mbele ya waandishi wa habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014.  
Waandishi wa Habari wakiwajibika.
Dokta Eli Nangawe akijibu maswali mbele ya waandishi wa habari.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post