MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI MUWSA WATILIANA SAINI MKATABA WA HALI BORA.


Wawakilishi wa chama cha Wafanyakazi ,TUICO,kulia ni katibu wa TUICO tawi la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Jakoub Olotu,(katikati ni Menyekiti wa TUICO mkoa wa Kilimanjaro, Renatus Chimola na mwisho ni Mwenyekiti wa TUICO-MUWSA ,Maulid Barie.
Menejimenti ya MUWSA wakifuatilia majadiliano kabla ya kusainiwa kwa mkataba wa . Hali Bora na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo. Wa kwanza ni Mkaguzi wa hesabu wa ndani wa Mamlaka hiyo Benson Maro,katikati ni MeneKonyakija Fedha wa Mamlaka hiyo Joyce Msiru na mwenye koti ni Meneja rasilimali watu,Michael
Meneja Biashara wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira ,Moshi ,John Ndetiko akichangia jambo kabla ya mkataba kusainiwa.
Wawakilishi wa wafanyakazi wa MUWSA wakati wa kutiliana saini ya mkatba wa Hali Bora ,toka kulia ni Musa Shah,Victoria Kiondo na Aicetha Massawe.
Meneja rasilimali watu wa MUWSA,Michael Konyaki akichangia jambo kabla ya kusainiwa kwa mkataba wa hali bora kati ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo na Menejimenti.
Mwenyekiti wa TUICO tawi la MUWSA,Maulid Barie akizungumza jambo wakati wa kikao cha kutiliana saini katika mktaba wa Hali Bora.
Mkaguzi wa hesabu wa ndani wa MUWSA,Benson Maro akichangia jambo katika kikao hicho.
Kaimu Mkurugenzi wa MUWSA,Patrick Kibasa akitia saini mktaba wa hali bora uliosainiwa kati ya menejimenti na wafanyakazi wa mamlaka hiyo.
Viongozi wa TUICO wakitia saini mkataba huo.
Meneja fedha wa MUWSA,Joyce Msiru akitia saini katika mkataba huo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post