Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Emmanuel Matee
akielezea historia ya mfuko huo kwa wadau mbalimbali wa elimu katika
hafla ya kupokea vitabu kwa ajili ya shule za Msingi, Sekondari na Elimu
ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka Marekani leo jijini Dar
es Salaam
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani
leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa
Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu
mwakilishi wa Shule ya Sekondari Overland, iliyopo Kisarawe ndg.
Allison Sila wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu
mwakilishi wa Shule ya Msingi Little Hood, Ignas Kamuntu wakati wa
hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria n leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu
mwakilishi kutoka Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka Bagamoyo, Bibi.
Victoria Kessy wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka shule ya Sekondari Ujenzi iliyopo Mkuranga ndg. Karumuna Sigsmundi akitoa shukrani kwa Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa kwa niaba ya
wawakilishi wa shule zote zilizo kabidhiwa Vitabu vilivyotolewa na Books
for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe akizungumzia umuhimu wa
Vitabu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka Marekani na
kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria
wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa shule 45 na Vyuo vya Elimu ya
juu 3, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa, Mdhamini wa Mfuko Sawa kwa Wote Bibi. Esther Mkwizu(katikati) na Mwakilishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akiwa katika picha
ya pamoja na wadau pamoja na wahisani wa Elimu wakati wa hafla ya
kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam. Picha na MAELEZO