MATUKIO MBALIMBALI YALIYOFANYWA NA WACHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA REAL MADRID WALIPOZURU MKOANI ARUSHA

 Wachezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid ya Hispania, wakijumuika na watu wa kabila la wamasai katika hifadhi ya Ngorongoro walikotembelea mwanzoni mwa wiki katika ziara yao nchini Tanzania, baadhi yao wanaonekana wakiingia ndani ya nyumba za wenyeji hao.

 Wamasai wakiwa wanacheza mbele ya wachezaji wa zamani wa Real Madrid
 mmoja wa wachezaji wa zamani wa real madrid akiwa anasalimiana na muamuzi  walipotembelea viwanja vya  kumbukumbu ya sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Viongozi wa serekali wa mkoa wa Arusha  akiwemo mkuu wa mkoa waq Arusha Magesa Mulongo pamoja na mkuu wa wila ya Arusha John Mongela katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Real Madrid walipo zuru  mkoani humo

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.